Kuingiza pesa mtandaoni, kujiajiri kutumia mtandao, au kutengeneza pesa online, ni moja ya search terms zinazoongoza kutafutwa zaidi kwenye mitandao ya Google na Bing. Ila pamoja na hayo, hakuna miongozo inayooeleweka ambayo mtu anaweza kupitia na kupata majibu ya uhakika,…
Hi there, karibu kwenye makala hii ambapo nitaongelea kwa kina(kidogo) aina kuu tatu za watu ambao unabidi uwakate kabisa na kutoruhusu wawe karibu na wewe na pia nitaelezea ni namna gani unaweza kuchagua kwa usahihi watu wa kuwaweka karibu yako….
Habari, kama umekua ukitamani kufungua blog—iwe kama hobby au kama namna ya kujiajiri na hufahamu pa kuanzia, basi makala hii ni ya kuweka karibu. Kama ni mtu wa kuchukua notes, then unaweza andaa pen yako na notebook maana ninaenda kuongelea…
Kwenye haya maisha ya saa hivi, haswa katika utafutaji, akili inatumika nyingi kuliko nguvu. Na kama ni kijana mwenye maono na mikakati yake, na ipo sehemu au mahala unataka ufike, na uko na goals/malengo yaliyo serious kidogo unataka uyatimize, basi…
Hi there. Ni mwaka 2025 na dunia inazidi kubadilika kwa kasi. Moja ya mabadiliko haya yapo kwenye kazi/ajira. Uhaba wa kazi na ugumu wa kupatikana kwake kwa wahitimu (hadi wale wenye vigezo sahihi) na kufanya wengi kuchangamsha akili na kuendana…
‘Jinsi ya kuingiza pesa mtandaoni’, ‘Namna ya kutengeneza pesa Kutumia mtandao’, ‘Nawezaje kuingiza pesa online kutumia simu yangu’, ‘njia za uhakika za kuingiza pesa kutumia mtandao’ Hizo zote ni baadhi ya sentensi zinazo ongoza kwa kiasi chake kusearchiwa kwenye mtandao…
Mtandao ni sehemu kubwa na pana sana, penye muingiliano wa watu wa kila aina. Kama kuna watu wema na wenye nia nzuri, iko safe ku-assume kua na watu wabaya wapo pia. Kama sio mgeni kwenye hii mitandao, iwe ni Facebook,…