Kama kuna kitu kizuri ambacho kimetokana na maswala ya globalization, basi ni uwezo wa mtu yeyote yule…
Hi there, karibu Kainetics...
Kwenye blog hii utapata makala, miongozo mbalimbali, na resources kadhaa wa kadhaa zinazohusu mambo ya mitandao na teknolojia kiujumla— iwe ni kufundishana Digital Skills, au kuelekezana kuhusu maswala ya Blogging, Freelancing, Digital Marketing, Branding na mengine mengi bila kusahau kushare Personal Experiences na Kushauriana. Karibu.