Kwenye haya maisha ya saa hivi, haswa katika utafutaji, akili inatumika nyingi kuliko nguvu. Na kama ni…
Biashara & Uchumi
1 Article
1
Katika section hii ya Kainetics, naongelea mambo yote yanayohusiana na Biashara, Uchumi pamoja na Ujasiriamali.
Yote kuanzia mambo ya mawazo ya baishara, kuanzisha, kuendeleza, bila kusahau tips na ushauri mbali mbali. Iwe ni kwa Biashara za Online au za Kawaida. Karibu.