Moja ya kikwazo kikubwa kinachotuface kama watanzania ikija swala zima la kujiajiri mtandaoni, iwe ni kwa kufanya…
Digital Marketing
1 Makala Kwenye Hii Mada
Digital Marketing kwa ufupi, ni kutumia mitandao ya kijamii na internet kiujumla kujitangaza kama biashara au mtu binafsi ili uweze kuwafikia watu wengi zaidi hata kama biashara yako haija base mtandaoni. Soma makala kuhusiana na hii kitu kwa kina.