Hi there. Ni mwaka 2025 na dunia inazidi kubadilika kwa kasi. Moja ya mabadiliko haya yapo kwenye…
Digital Skills
2 Articles
2
Digital Skills ni ujuzi wa aina yeyote ile ulio wa kidigitali. Na katika section hii kuna muunganiko wa post zote ambapo nimeongelea mambo haya kuanzia kwenye ubunifu, uandishi, branding, graphics design, web design, video & audio editing, na mambo mengine kibao.
Mtandao ni sehemu kubwa na pana sana, penye muingiliano wa watu wa kila aina. Kama kuna watu…