Habari, kama wewe ni mtu ambaye umekua ukitamani kuweza kutumia simu/au laptop yako au hata ujuzi ulionao…
Freelancing
1 Article
1
Freelancing ni namna moja wapo unayoweza kuitumia kujiajiri online directly kupitia simu ako, kwenye makala hizi naiongelea kwa kina. Ni nini? Unawezaje kuanza Freelancing, Tips & Tricks, na mengine mengi.