Offer Maalumu

Jipatie Tovuti Bora ya Kisasa Kwa Bei Rafiki Ya Punguzo

📑 Offer Hii Ni Kwa Nani ?

Offer hii ni kwa wale wanaotamani kuanza kumiliki tovuti zao binafsi, za kisasa na zenye ubora huku wakizingatia bajeti. Ziwe ni;

  • Personal Blogs / Blogs Kiujumla
  • Tovuti Za Portfolio
  • Tovuti Ndogo Za Biashara

Hivyo basi, ukiwa unahitaji kuanzisha blog yako binafsi, iwe ni kama hobby, au serious kwa ajili ya Monetization. Basi offer hii itakufaa.

Ikiwa pia wewe ni Freelancer au mtu aliyejikita kwenye fani specific, na unahitaji kuwa na tovuti ya kisasa inayo showcase ujuzi wako(portfolio), baadhi ya kazi zako na hata mawasiliano, basi offer hii itakufaa pia.

Kama ni mfanyabiashara, na unahitaji tovuti ya kisasa kwa ajili ya biashara yako, inayo elezea baadhi ya huduma/bidhaa zako, unapatikana wapi pamoja na mawasiliano yako, offer hii ni ya kwako.

Kwa ufupi;

Offer hii ni kwa ajili ya wale wote wanaohitaji tovuti binafsi, wanaozingatia ubora lakini pia wana bajeti ndogo/wastani.


🪵 Mambo Utakayopata

✅ Domain name — .com/.info/.blog/.net (Iliyolipiwa mwaka mzima)

✅ Taarifa za Acc. ya Domain Name Registrar (Hostinger/NameCheap)

✅ Hosting Space kwa miezi mitano

✅ SSL Certificate

✅ Modern, Unique & Responsive Design

✅ Custom Color Palette

✅ Logo Design ya bure

** Kama umelenga kuunda tovuti ambayo utai-monetize kwa Adsense, Infolinks au Adseterra; Ushauri kuhusu Ninche/Target Audience pamoja na aina za Content kuendana na Ninche husika, ni bure.

** Wakati wa kuunga Adsense pia, Assistance itakua bure (as usual)


✍️ Utaratibu Wa Kufanya Kazi

  1. Kazi itakamilika ndani ya Siku 2-3 Maximum.
  2. Malipo ni kwa Awamu mbili — 50% kabla ya kazi, na 50% baada ya kukamilisha mambo yote muhimu (kabla ya marekebisho ya mwisho)
  3. Mambo muhimu kama kununua Domain name, SSL Certificate na ku setup Hosting Space pamoja na Admin Dashboard yanafanyika immediately baada ya kufanya malipo ya awali. Hivyo tovuti itakua live na utakua na access kuanzia siku ya kwanza (masaa kadhaa ya awali.)
  4. Jina la Tovuti/Blog husika, Color Palette, Tovuti/Blog Itajihusisha na Nini, Lugha ya Maudhui Kwenye Tovuti Husika vitaamuliwa na Client (wewe mwenyewe)
  5. Tovuti/Blog inaweza kuendeshwa hata kama utakua huna laptop.
  6. Baada ya domain name kua live, na kukupa access ya admin dashboard hatua itakayofuata itakua ku design logo ya kisasa kwa ajili ya tovuti yako (hii ni bure)
  7. Baada ya hapo tutajadiliana mambo muhimu kama tovuti iwe ya aina gani, itakua inajihusisha na mambo gani, rangi, nk. Na baada ya hapo itaundwa kwendana na taarifa utakazokuwa umenipatia.
  8. Utamalizia Malipo ya 50% iliyobaki na kupendekeza marekebisho madogo madogo kwenye design nzima ya tovuti.
  9. Nitafanya marekebisho ya mwisho kuendana na mapendekezo uliyoyatoa.
  10. Kazi itakua imekamilika, na tovuti itakua tayari kwa matumizi.

** Any consultation baada ya kazi (ukiwa na maswali, au unahitaji ushauri/guidance kwenye uendeshaji wa tovuti yako, ni bure.


🍂 Bei / Gharama

Hayo yote (ikiwa ni mjumuiko wa;

  • Top Level Domain Name iliyolipiwa mwaka mzima
  • SSL Certificate
  • Hosting Miezi Mitano
  • Logo Design ya Bure
  • Design ya kisasa iliyo Responsive
  • Huduma ya Uhakika + Ndani ya muda

Utayapata kwa;

Tsh. 175,000/-

Au;

Tsh. 245,000/- (Hosting Ya Mwaka Mzima)

Kama ni mtu tayari ana idea, na anahitaji Professional bundle yenye mambo ya ziada, ikiwemo;

👉 On Page + Off Page SEO

👉 Business Email

👉 Hosting Miezi 24

👉 CTA / Newsletter

👉 Online Branding

👉 Tech Support (Mara 1 kwa mwezi)

Vyote kwa:

Tsh. 355,000/-

** Kama una tovuti tayari na unahitaji ifanyiwe maboresho pia tunaweza wasiliana.

Karibu!


📮 Mawasiliano