Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha ‘kuingiza pesa mtandaoni‘ na hizo HYIP Investments, MLM’s na hizo App zinapromise kulipa ukifanya tu task twa ajabu…
Blogging na kuandika kiujumla— kama ni kitu ambacho unakifanya kwa malengo, na sio kuandika kama hobby/ilimradi—ni moja ya vitu ambavyo vinakula muda, vinachosha na vina vu-vitu vwingi vudogo vudogo ambavwo unabidi kuvushika na kuvufanya sehemu ya routine yako ya kila…
Hi there, karibu kwenye makala hii ambapo nitaongelea kwa kina(kidogo) aina kuu tatu za watu ambao unabidi uwakate kabisa na kutoruhusu wawe karibu na wewe na pia nitaelezea ni namna gani unaweza kuchagua kwa usahihi watu wa kuwaweka karibu yako….
Katika maisha huwa kuna mambo mengi, sisi kama binadamu huwa tunapitia, na baadhi ya haya mapito, yanaweza kukuvuruga kabisa kiakili kupelekea kufanya au kujaribu kufanya mambo ambayo hata hukuwahi kudhania. Moja ya mambo haya ni “Being So Desperate To Earn…
Habari, kama wewe ni mtu ambaye umekua ukitamani kuweza kutumia simu/au laptop yako au hata ujuzi ulionao kujiingizia kipato online au hata kujiajiri kabisa lakini hufahamu ni vitu gani vya uhakika ujishughulishe navyo, basi moja ya hivyo vitu ni Freelancing—na…