Maisha13 Min Read Frank KaionJanuary 31, 2025 Aina Kuu Tatu(3) Ya Watu Wa Kuweka Mbali : Na Namna Ya Kuchagua Watu Sahihi Hi there, karibu kwenye makala hii ambapo nitaongelea kwa kina(kidogo) aina kuu tatu za watu ambao unabidi uwakate kabisa na kutoruhusu wawe…